THE MAN BEHIND ADDICTION

Wewe ni nani nyuma ya uraibu?

Wanaume wengi hutumia maisha yao yote wakipambana na uraibu, lakini hawajawahi kujiuliza swali muhimu zaidi,

"Mimi ni nani, kama uraibu huu usingekuwepo?"

Kitabu hiki hakikufundishi tu jinsi ya kushinda ponografia na punyeto. Kinakusaidia kujitambua, kugundua kusudi la maisha yako, kuelewa vipaji, vipawa na karama ulizopewa, na kujenga nidhamu na kujitawala ili uwe mwanaume uliyeumbwa kuwa.

Mwanaume asiyejua kusudi lake huwa rahisi kupotezwa na kila aina ya usumbufu. Lakini mwanaume anayejua yeye ni nani na anakwenda wapi, huishi kwa mwelekeo, nidhamu na ujasiri.

"A man with no target becomes an easy target for every distraction."

Kwa sasa, kitabu kinapatikana kwa lugha ya Kiingereza. Toleo la Kiswahili linaendelea kutafsiriwa na litapatikana hivi karibuni.

Soft Copy: TSh 10,000 tu.

Je, uko tayari kumgundua mwanaume aliyejificha nyuma ya uraibu wako? 

LIPA SASA

MIXX BY YAS 17522879,Afya yako tz

 KISHA TUMA MUAMALA WAKO WHATSAPP NUMBER 0695 19 29 64