90 DAYS RESET PROGRAM ni mfumo wa mafunzo,mbinu na usimamizi ulioundwa kukusaidia mwanaume kujinasua kutoka kwenye uraibu wa ponografia na punyeto, kurejesha nidhamu, kuimarisha afya ya mwili na akili, kuongeza umakini na kuishi maisha yenye kusudi.
Jiunge leo na 90-DAYS RESET PROGRAM upate Elimu,Mbinu na Usimamizi sahihi utakao kusaidia kuvunja URAIBU wa PUNYETO
90 DAYS RESET PROGRAM ni mfumo wa mafunzo,mbinu na usimamizi ulioundwa kukusaidia mwanaume kujinasua kutoka kwenye uraibu wa ponografia na punyeto, kurejesha nidhamu, kuimarisha afya ya mwili na akili, kuongeza umakini na kuishi maisha yenye kusudi.
Programu hii imeundwa kwa mwanaume ambaye,
Anapambana na uraibu wa ponografia au punyeto kwa muda mrefu.
Ameanza kupoteza NIDHAMU na kujitawala.
Anaishi na aibu, hatia,majuto na kapoteza kujiamini.
Anataka kurejesha nguvu, umakini na heshima binafsi.
Anataka kuishi maisha yenye afya na kusudi.
Yuko tayari kufanya mabadiliko ya kweli.
Mafunzo ya moja kwa moja kwa njia ya mtandao kwa dk 45(1 on 1 sessions).
Video za mafundisho ya kuielewa DOPAMINE na MASTURBATION CYCLE pamoja na namna ya kuitawala SEXUAL ENERGY.
Utapata Vitabu na PDF za kujifunza juu ya kujenga NIDHAMU YA KIUME.
Ratiba za utekelezaji wa kila WEEK kama KUFUNGA KULA na SEMEN RETANTION.
Mfumo wa ufuatiliaji na usimamizi kila baada ya week mbili.
BONUS; kwa mwanaume ambaoe tayari anadalili za madhara ya Punyeto kama 1.kukosa hamu ya tendo 2.Misuli ya uume kusinyaa(kama ya mtoto) 3.kuwahi kufika kileleni na kushindwa kurudia tendo,atapata nafasi kufanyiwa assessment ya bure ya kujua ukubwa wa changamoto na kupewa ushauri wa matibabu kulingana na hali aliyo nayo.
ADA YA KUJIUNGA NA PROGRAM HII
Kama umechoka kuendelea kuishi chini ya utumwa wa ponografia na Punyeto, ni wakati wa kuchukua hatua,kwasababu Kila siku unayoahirisha mabadiliko, unaendelea kupoteza NIDHAMU, KUJIAMINI na uwezo wako wa kuwa mwanaume unayetamani kuwa.
Mwanaume nafasi ya kufanya maamuzi iko mikononi mwako,kwa ADA YA TSH 12,OOO/= TU.Tumeamua kuweka gharama hii ndogo,ili kila mwanaume aliyeamua kubadilika apate nafasi ya kuanza upya safari yake.
LIPA SASA UJIUNGE,
MIXX BY YAS 17522879,Afya yako tz
Kisha tuma message ya muamala WHATSAAP NUMBER 0695 19 29 64